Robertinho aacha rekodi Simba.

Published from Blogger Prime Android App
Pamoja na kufukuzwa kwa kocha wa simba Robertinho raia wa brazili ameacha rekodi katika klabu hiyo. Robertinho ambaye amehudumu kuifundisha Simba katika michezo 18 amepoteza mchezo 1 na ku sare 2 huku timu ikifunga magoli 45 na kuruhusu magoli 17. 
Robertinho alipenda michezo ya kimkakati akifahamika kama mzee wa ball objective. 

No comments:

Post a Comment