Camavinga aweka kitanzi Madrid.

Published from Blogger Prime Android App
️ Rasmi na imethibitishwa. Eduardo Camavinga ametia saini mkataba mpya wa muda mrefu katika klabu ya Real Madrid utakaodumu hadi Juni 2029. Makubaliano yalifungwa mwezi uliopita na sasa yamethibitishwa na klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment