Mabadiliko ya ratiba African Football League.

 

Mechi kati ya Wydad Athletic Club na Enyimba FC, na Esperance Sportive de Tunis dhidi ya TP Mazembe katika AFL, zimepangwa tena kuchezwa Oktoba 26.


Maelezo:
 
Wydad Athletic Club dhidi ya Enyimba FC
Tarehe ya mwanzo: 25.10.2023
Tarehe Mpya: Oktoba 26, 2023
Muda wa Kuanza: 19:00
 
Esperance Sportive de Tunis dhidi ya TP Mazembe
Tarehe ya mwanzo: 25.10.2023
Tarehe Mpya: Oktoba 26, 2023
Muda wa Kuanza: 16:00.
#african football 

No comments:

Post a Comment