Iddi Nado aipa alama tatu Azam dhidi ya Singida Fountain Gate FC.

Published from Blogger Prime Android App
Bao la dakika za lala salama la Iddy Nado limeipatia Azam FC alama zote tatu dhidi ya Singida Fontaine Gate FC katika dimba la Azam Complex, Chamazi na kufikisha pointi 9 baada ya mechi tatu.

FT: AZAM FC 2-1 SINGIDA FG FC
⚽ Sidibe 10'
⚽ Nado 90+3'
⚽ Tchakei 57'

Singida Fontaine Gate FC wanasalia na alama mbili tu baada ya mechi tatu.

No comments:

Post a Comment