Taarifa zinasema Luis Jefferson amepata majeraha makubwa na kwa mujibu wa daktari wa timu atakaa nje kwa muda mrefu. 

Published from Blogger Prime Android App
Taarifa zinasema Luis Jefferson amepata majeraha makubwa na kwa mujibu wa daktari wa timu atakaa nje kwa muda mrefu. 

•Hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi cha wachezaji kwa msimu ujao. 

• Tayari Simba wamejiandaa kumlipa na kuvunja mkataba wake kwa makubaliano na mchezaji. 

• Simba sasa wanatafuta Golikipa wa kuziba nafasi yake kwa haraka na kumfanyia usaili kwa mashindano ya Kimataifa kabla ya muda wa udahili kufungwa ikiwa ni siku chache zimebaki. 

No comments:

Post a Comment