Jude Bellingham akamilisha vipimo vya afya.

Inasemekana Published from Blogger Prime Android App

Kiungo huyo raia wa Uingereza na mcjezaji wa borrusia dortmund ya ujerumani tayari amefanya vipimp vya afya kujinga na miamba ya bernabeu. Tetesi zinasema Bellingham amesaini mkataba utakaomuweka Real Madrid mpaka 2029.
Anatajiwa kusafiri kwenda madrid wiki inayo.

No comments:

Post a Comment